Kuna
hali mbaya ndani ya Serikali ya Uhuru Kenyatta baada ya kufukuzwa kazi
Waziri wa Masuala ya ndani pamoja na Kamishna mkuu wa Polisi wa nchi
hiyo David Kimaiyo.
Wachambuzi
wa masuala ya Kenya wanaeleza kuwa mashambulio ya Al-Shabab hayawezi
kusimama kwa kufutwa kazi Waziri bali Uhai wa Wananchi wa Kenya iko kwa
kuondolewa kwa Wanajeshi wao walioko Ardhi ya Somalia.
Tizama hapa chini Video iliyoandaliwa na Al Jazeera
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni