Sheikh
Abdurrahman Hudeyfa ambae ni Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba
amesema alipokuwa akizungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Andalus
iliyo chini ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuwa Mujahidina wa kikosi
cha Angani walifanikiwa kwa uwezo wa Allah kuiteremsha chini Ndege hiyo
dakika chache tu baada ya kumaliza kufanya mashambulio ya angani kwenye
eneo la Araare nje ya mji wa Jamame.
Amesema
mmoja ya Silaha miongoni mwa silaha kwajili ya kuangushia ndege
iliipata Ndege hiyo na hatimae kuangukia kijiji cha Daseg-Wamo iliyo
karibu na mji wa Kismaayo,baadhi ya vikosi vya Al-Shabab waliweza kufika
eneo iliyoangukia ndege hiyo na kufanya uchunguzi zaidi miili ya
Marubani wawili waliokuwa kwenye ndege hiyo ambao wote waliangamia na
mabaki ya ndege.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni