Milipuko mikubwa yatikisa mji wa Godey Ardhi ya wasomali wa Ethiopia.
Duru za
kuaminika zinaeleza kuwa milipuko miwili ililengwa katika Hoteli
waliokuwemo maofisa wa Jeshi la Serikali ya Ethiopia pamoja na viongozi
wa Utawala wa Kisomali wanaoiunga mkono Ethiopia.
Mahoteli ya Royal na Warder
imeharibiwa vibaya kutokana na uzito wa milipuko huo,magari ya kubebea
wagonjwa ilifika eneo la tukio huko yakionekana kuwachukua walioathirika
na milipuko hizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni